Google PlusRSS FeedEmail

MZEE WA SWAGA YA JB - NI COPY & PASTE - ZAMARADI

       Jacob Stephen

DUNIA imekuwa kama Kijiji unaweza kufanya jambo na ukaamini hapo ulipo litoa hakuna anayefika kumbe kabla yako kuna mtu alianza awali, baada ya filamu yake ya kwanza ya Regina Jacob Stephen ‘JB’ kushutumiwa kuwa kuna filamu ambayo alikopi na kupaste kutoka sinema ya nje.

 Mzee wa Swaga baada ya mwanadada Tv Presenter  kumshushia nondo za kutosha katika Preview ya movie hiyo kumbe mchizi amecopy & Paste from one movie kutoka sinema moja ya akina Kanjibai from Bombay.

Zamaradi Mketema alichambua sinema ya Mzee wa Swaga scene kwa scene na kumwacha mchizi akiwa hoi huko aliko hatujui kama mtunzi wa filamu hiyo kama alimwambia JB na kama aliambiwa duh,, wasingejipa credit zaidi ya kuonyesha kuwa sinema hiyo imetokana na hadithi ya filamu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging