Google PlusRSS FeedEmail

BOBBI KRISTINA HALI YAKE YAZIDI KUWA MBAYA

                                

Afya ya mtoto wa marehemu Whitney Houston na Boby Brown ,Bobbi Kristina imeendelea kuwa mbaya mara baada ya kupoteza tena fahamu..

Bobbi Kristina 21 ameendelea kuwa katika hali mbaya baada ya kuwa katika hali mbaya mara baada ya madaktari wanaoendelea kumtibu kusitisha dawa walizokuwa wakimpatia ili kuendele kuchukua vipimo vingine .
           
Jumatatu wiki hii Gordon ambaye ni mume wa Bobbi Kristina amesema Bobby Brown,hakuwai kuwa karibu na Binti yake,hadi alipokimbizwa hospitali na anafanya hivyo kwa kuwa anahitaji fedha za familia hiyo,,,

Gordon alizuiwa kumtembelea mkewe  huku aimwambia mkwewe Brown anapaswa kukua na kuachana na mambo ya kitoto ..


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging