Google PlusRSS FeedEmail

NAHITAJI MTOTO MMOJA TU- BABY MADAHA

                           

MWIGIZAJI na mwanamuziki kutoka Bongo Baby Madaha amefunguka kwa kusema kuwa wakati ukifika wa kuzaa anahitaji kuzaa mtoto mmoja tu wa kiume katika maisha yake, na hilo litafanyika baada ya kukamilisha miradi yake ambayo ipo karibuni kukamilika.

“Nahitaji kuzaa mtoto mmoja tu wa kiume, ndio malengo yangu, so nilichofanya kwa sasa ni kujipanga ili mwanagu asipate taabu, nimefungua kampuni ya Advanced Entertainment Studio,”anasema Baby Madaha.

Baby anasema kuwa suala la kuzaa ni la kujipanga na kuamua utaishije kwa ajili ya kumsaidia mtoto wako bila kumtegemea mwanaume kwani atazaa mtoto kwa mapenzi yake hapendi ikitokea hivyo asisumbuke kwa malezi, angependa mwanaye amlee mwenyewe.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging