Google PlusRSS FeedEmail

WAZO LA MKUDE SIMBA - KITALE

                  Mussa Kitale

HAIKUWA rahisi kugundua na kubaini vibwagizo vya Mkude Simba vilivyoibuka ghafla kuteka jiji la Dar es Salaam pamoja na nchini nzima mwasisi wa wazo hilo alikuwa ni Mussa Kitale ‘Mkude Simba’ anasema kuwa wazo hilo liliandaliwa kwa muda wa miaka miwili na kuja kuteka umma.

“Wazo la Mkude Simba nilikuwa nalo toka mwaka 2012 lakini nilipokuwa najaribu kulitumia baadhi ya Redio zilishindwa kunielewa, lakini Efm walinielewa na kutumia vibwagezo vyangu vya Mkude Simba,”anasema Kitale.

Kitale anasema kuwa baada ya kufanikiwa kujenga alama ya uhusika wa mtumiaji wa madawa ya kulevya ‘Teja’ alikuwa akiumiza kichwa anaweza kuibuka na kitu gani cha kibunifu na kuteka hadhira, katika kulinda kazi zake anatarajia kufungua kampuni yake na kazi yake ya kwanza itakuwa Harusi ya Teja.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging