Google PlusRSS FeedEmail

NISHER AKOMAA NA HIPHOP

                                       

Mtayarishaji wa Video Nchini Nisher anatarajia kuongoza nyimbo za Hiphop,Akizungumza na Pro-24, Jijjini Dar es salaam,Mtarishaji huyo amesema tayari ameshatarisha wimbo wa mpya wa Fid Q ambao umepewa jina la Bendera ya chuma,

Alisema baada ya kuandaa kila kitu akamtumia Fid Q na ameonekana kuukubali,alisikika akisema ''nimeshamtumia aina zaidi 15 za nyimbo zangu na amezipenda zote na baada ya hapo nikamfanyia kazi yake,,,''

Aidha alisema pia ametengeneza video kadhaa za msanii Ay na kwamba kila kitu kipo tayari

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging