Google PlusRSS FeedEmail

NIVA - UKIOA DEMU KULIA KWANGU JUA SIJAPIIIIIII -

                    Wema Sepetu, Zubery Mohamed

MWIGIZAJI anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu Tanzania Zuber Mohamed ‘Niva’ ametoa ya mwaka baada ya kusema kuwa upigaji wa picha na wanawake una maana kubwa kwake tofauti na mastaa wengine ambao hawana fomula ujipigia picha tu.”anasema Niva.


               Kajal;a Masanja, Zubery Mohamed
Niva anaonekana katika picha mbalimbali akiwa amepiga picha na nyota katika tasnia ya filamu akiwa amewaweka mkono wake wa kuume, nyota hao kama vile Wema Isack Sepetu, Kajaala Masnja na wengineo hiyo ndio staili ya kijana Niva aka Marioo.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging