Google PlusRSS FeedEmail

OMMY DIMPOZ ATOA UTATAMsanii wa bongo fleva, Ommy Dimpoz, amefunguka kuhusiana na picha zilizozua utata na kuzozagaa mitandao zikimuonesha akiwa kitandani na msanii wa filamu Wema sepetu.

Ommy amesema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.

Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz, ameamua kujiweka kwa Wema, baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Diamond Platinum.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging