Google PlusRSS FeedEmail

NICKI MINAJ AMKANA MEEK MILL

Licha ya kuoneka wakiwa pamoja mara kwa mara katika matukio mbalimbali Rapper Nicki Minaj amesema kua hana mahusiano ya kimapenzi na rapper kutoka Philadelphia meek Mill.

Minaj amekua akiambatana na Meek Mill katika matukio mbalimbali na siku ya mwisho kwa wawili hao kuonekana pamoja ni katika NBA All star weekend iliofanyika hivi karibuni .

Katika Mhojiano na Vogue Nicky amesema anashangazwa na tabia ya watu kuwachukulia kua wao wana mahusiano wakati wao ni marafiki wa siku nyingi.Nicky amesema kua ye na Meek wanafahamiana muda mrefu na kuwa amekua akimsiadia katika mambo mengi yenye shida na raha.

Meek Mill mpaka sasa hajazungumza chocte kuhus ukaribu wake na Nicky lakin a,ekua akionekana na Rapper huyo mkali wa kike mara kwa mara.

Kwa hyo tuseme ni urafiki tu?

This entry was posted in

One Response so far.

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging