Google PlusRSS FeedEmail

RAY J & PRINCESS WAZICHAPA KAVU KAVU

       

Msanii wa muziki wa Marekani Ray J anatarajia kuadhibiwa kwa kosa la kumshambulia mpenzi wake  Princess Love..

Mwanamuziki huyo ambaye alishawahi kurekodi mkanda wa ngono na Kim Kardashian alionekana akivuja damu ,mara baada ya kutokea ugomvi baina yao..

wapenzi hao walianza kugombana usiku wa manane wakati Ray J ,akimsubiri mpenzi wake aliyekwenda disco na kutokea mtafaruku mkubwa ulisababisha majeraha katika baadhi ya sehemu za mwili wake..
      
waliokuwa karibu waliaambia police kuwa wakiwa katika hotel ya W French Quarter,walisikia kelelel zikiambatana na vitisho vikiwemo kuua,wakinzi wa hotel hiyo walimuona Ray J akivuja damu kabla ya kupiga simu police kwa ajili ya mtuhumiwa kukamatwa..Police waliamua kumuachia Princess na uchunguzi bado unaendelea...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging