
Mrembo huyo ambaye alishawahi kuwa mpenzi wa Kanye West alisema anaifahamu vyema familia hiyo .Amber Rose kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano na na kinda Tyga 27,ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 27 tu.ambaye dogo huyo ni Rapper wa muziki wa Hip Hop.
Sakata hilo limekuja baada ya familia ya Kardashian kuanza kulumbana na Amber Rose kwenye mitandao ya kijamii

Siku tatu baada ya Khloe kufanya mahojiano na kituo kimoja cha redio alisikika akisema Amber Rose ni mmoja ya watu ambao wanataka kuihujumu familia yao kutokana na mambo mbali mbali
Nae Amber Rose alisikika akisema naifahamu familia hiyo tangu nikiwa na umri wamiaka 15,hivyo najua mambo mengi sana kuhusu wao ..