Google PlusRSS FeedEmail

SALAMA KUWAKUTANISHA LINEX NA DIAMOND

          

Wanamuziki wawili wa muziki wa kizazi kipya Diamond na Linex kwa pamoja wameshirikiana katika ngoma ijulikanayo kwa jina 'Salama'

Akizungumza na waandishi wa habari Linez amesema tayari uchukuaji wa picha za video za wimbo huo umeshaanza kufanyika chini ya mtarishaji Adam Juma .

Wimbo huo ambao Linex Amemshirikisha Diamond,Linex amejigamba kwa kusema wimbo huo ni moto wa kuotelea mbali kutokana na wawili hao kufanya vyema katika kuimba wimbo huo.

Linex amefanikiwa kujizolea mashabiki kupitia kwenye vibao vyake kama vile Aifora , Moyo wa Subira n.k

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging