Google PlusRSS FeedEmail

ADAM JUMA - VIDEO ZINAHITAJI GHARAMA KUBWA ILI KUWA BORA


                                       

Mtarishaji wa Video Nchini Adam Juma amewataka wasanii kuwalipa vizuri ili wapate  Video Bora, akizungumza jijini Dar es salaam jana alisema wasanii wanapenda vitu vizuri lakini hawataki kulipa.aliongeza kwa kusema kuna Video zinategemewa kutoka hivi karibuni ikiwa pamoja na Chege na Mh Temba ambazo zilifanyika Africa ya Kusini.

Akitoa mwito kwa wasanii kuwa na bajeti nzuri na kwamba bajeti itakapokuwa ya kiwango cha chini na video nayo inakuwa ya kiwango cha chini.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging