

Kwa mujibu wa gazeti la Daily Mail wawili hao walikodi floor nzima katika hospital ijulikananyo kwa jina la Quiron Tecknon iliyopo Jijini Barcelona..inasemekana Dactari aliyemsimamia kujifungua mtoto wake wa kwanza ndiye aliyesimamia na mtoto wao wa pili pia







