Google PlusRSS FeedEmail

ALBAMU YA TO PIMP A BUTTERFLY YAMUINGIZA BILBOARD
Rapa Kendrick Lamar ametua kwenye sehemu ya kwanza kwenye chati za album za Bilboard 200 na album yake yake ya To Pimp a Butterfly. Rapa huyu kutoka mitaa ya Compton amefanikiwa kutoa album yake ya tatu mapema March 16,na kuuza kopi 363,000 kwenye wiki ya kwanza.

Album ya Kendrick iliyopita good kid, m.A.A.d. city ilishika namba 2 kwenye wiki yake ya kwanza na kuuza kopi 241,000 na mpaka sasa imefikisha kopi milioni 1.4 duniani.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging