KWA mujibu wa mtandao waTMZ umeripoti kuwa msanii wa miondoko ya R&B Chris Brown amepata mtoto wa kike miezi tisa iliyopita hali hiyo inaashiria kuwa hivi sasa muimbaji huyu ni Baba wa mtoto wa kike wa miezi 9.
Ambapo inadawa kuwa mama wa mtoto huyu anajulikana kwa jina la Nia mwenye umri wa miaka ’31’ ambaye alishawahi kuwa mwanamitindo huku ikidaiwa kuwa alifahamiana na Chris Brown kwa miaka mingi nyuma.
Watu karibu na Chris Brown ’25’ wanasema mama na mtoto wa afya njema na kwamba Chris Brown anafuraha kuwa baba ila hawanatena mahusiano na mama yake.
Nai amekuwa akiwaambia marafiki zake kuwa Chris Brown ndio baba wa mtoto huyu ila anaishi na mwanaume mwingine anayelea huyu mtoto.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








