Google PlusRSS FeedEmail

RAPPA DRAKE ATHIBITISHA KUACHANA NA RIHANNA?


Angalia picha zinazomuonesha Rappa Drake kujivinjari na kimwana mwingine, huku kukiwa na uzishi wa Rihanna kuludiana na Rappa huyo hivi karibuni.

Baada ya uvumi huo, rapa huyo ameamua kuuzima kwa mtindo wa aina yake kwa kutokea hadharani na mpenzi wake mpya huko Peth nchini Australia. Binti huyo anayejulikana kwa jina la Bernice Burgos mwenye umri wa miaka ’34’ kutoka Ptptrico. Ni mwanamitindo na Bartender anayeishi Bronx mjini New York. Aliwahi kuonekana kwenye video maarufu kama Work Out ya J Cole na Rick Ross- Diced Pineapples ft Wale na Drake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging