Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z ANUNUA AINUNUA ASPIRO


Rapper Jay amefanikiwa kununua kampuni ya kusikiliza muziki kupitia kwenye mtandao,Kampuni hiyo ya  Aspiro ambayo makao makuu yake yako Nchini Sweden,inaendesha huduma hiyo kupitia kwenye mtandao.

Inasadikika Jay z ametumia kiasi cha Dollar Million 56$ ,Wachambuzi wa mambo hawajaweka bayana nia ya Jay Z kununua kampuni hiyo,ila baadhi ya watu wanasema kwamba anataka kuboresha huduma hiyo ili iwe na ubora wa hali ya juu,kuzidi Itunes na Spotify  

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging