Google PlusRSS FeedEmail

AK47 MDOGO WA JOSE CHAMELEONE AFARIKI DUNIAAliyekuwa Mdogo wa mwanamuziki Jose  Chameleone  Emmanuel Mayanja Hummertone aka AK47
amefariki Dunia,Mara baada ya kutokea ugomvi katika moja ya Bar  katika kitongoji cha Kabalagala

Emmanuel Mayanja Hummertone aka AK47  ambaye na pia ni mwanamuziki alifariki Dunia akiwa anawasili katika  Hospital  Nsambya hospital

Chazo cha habari kinasema kuwa AK47 alionekana amepigwa ila alipoamua kwenda bafuni ili kufuta damu zilizokuwa zikimtoka ndipo alipoanguka na kujigonga kichwani


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging