Google PlusRSS FeedEmail

JENNIFER LOPEZ ABADILI MUONEKANO WA MAVAZI YAKE

                         
Mwanamama Jinnifer Lopez,Mamezidi kuwa gumzo kwa tabia yake ya kubadili wanaume,ila kwa sasa amekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii kutokana na yeye kubadili style yake ya mavazi.

Kwa siku za hivi husoni mwanamama huyo mwenye umri wa miaka  45,amekuwa na tabia ya kupigili nguo fupi kila anapoonekana hadharani


wachambuzi wa mamabo wanasema mwanamama huyo anafanya makusudi kutokana na yeye mwenyewe kujitambua kuwa ni mrembo na mwenye shepu la kuvutia ila anafanya makusudi ili kuvutia watu na mapaparazi wanaomfatilia kila kukicha

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging