Google PlusRSS FeedEmail

DOES BLUE IVY REALLY NEED TWO BODYGUARD TO TAKE HER TO SCHOOL?Mtoto wa Rapper Jay Z na Mwigizaji na mwanaumuzi Pop Nchini Marekani,Beyonce Blue Ivy,amekuwa kero kwa baadhi ya watoto na wazazi wa  watoto wanaosoma shule moja na mtoto wa Mastaa hao.

Kero hizo zinatokana na Mbwembwe za kila aina za walinzi wa mtoto huyo wakati wakumpeleka na kumfuata mara atokako shuleni hapo
                       
Baadhi ya wazazi wamesema kuwa mbwembwe  hizo huwa ni kero kwao hasa pale wanapokuja kumchukua kwani anafatwa na magari mawili huku wakiwa na kila aina ya mbwembwe.

Malalamiko hayo yamekuja hv karibuni tangu mama wa mtoto huyo kutimiza miaka 33 tangu kuzaliwa kwake..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging