Google PlusRSS FeedEmail

KARRUECHE TRAN AMPIGA KIBUTI CHRIS BROWN

                    

Mara baada ya kupata mtoto na konekana akiwa na mtoto pamoja na mama yake hatimaye mama wa mtoto wa Chris Brown ameweka bayana na kuthibitisha kuachana na   Chris Brown baada ya kugundulika kuwa Chris ni baba wa mtoto mwenye miezi tisa na mwanamitindo  Karrueche Tran

Karrueche ametumia ukurasa wake wa Twitter kusema wazi kuwa amechoshwa na kila anachofanya Chris na anawatakia maisha mazuri Chris na familia yake. “Listen. One can only take so much. The best of luck to Chris and his family. No baby drama for me,” .
                                 
Inasemekana Chris Brown amezaa na mwanamitindo Nia ’31’ anayeishi Texas .

Tmz imeripoti kuwa Karrueche na Brown waligombana sana wiki iliyopita na kwamba Chris alijaribu sana kumpigia simu ila Tran hakupokea.Vipimo vya DNA vimethibitisha kuwa ni mtoto wa Chris Brown


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging