Google PlusRSS FeedEmail

MSIKILIZE MPOKI "BADO NITAENDELEA KUIGIZA SAUTI YA JOHN KOMBA KWA MAZURI"


Msanii wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki ameeleza alivyoguswa na msiba ambapo yeye ni miongoni wa wasanii waliokuwa wanaigiza sauti ya marehemu John Komba huku akiweka wazi kuwa alikuwa anaigiza sauti yake kwa mapenzi na mazuri aliyokuwa akifanya marehemu, hivyo bado atakuwa na uwezo wa kuendelea kuigiza sauti ya marehemu.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging