MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jaydee azungumzia kifo cha Kapten John Komba ambaye alipata umaarufu zaidi kupitia sana ya muziki.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii Jaydee aliweka wazi hisia zake ambapo alisema kuwa anamkumbuka marehemu kwa mambo mengi ikiwemo nyimbo zake za maaombolezo ambapo kipindi hicho yeye ndio alikua anaanza muziki.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.