Google PlusRSS FeedEmail

MWANAMKE ASHIKILIWA AFRIKA KUSINI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Mwanamke mmoja nchini Afrika Kusini amekamatwa kwa tuhuma za kumchoma kisu na kumuua rapa maarufu nchini humo. Rapa Nkululeko Habedi, maarufu kama Flabba, amefariki dunia akiwa nyumbani kwake huko Alexandra Jijini Johannesburg.

Polisi nchini Afrika Kusini wamevieleza vyombo vya habari kuwa mwanamke huyo atapandishwa mahakamani ndani ya saa 48.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging