Google PlusRSS FeedEmail

MZEE OJWANG WA VITIMBI AFANYIWA UPASUAJI ASUBUHI HII JIJINI NAIROBI

 Mzee Ojwang whose real name is Benson Wanjau, 77 has been admitted to Loresho Hospital where he is receiving treatment for partial blindness. PHOTO | COURTESY

Msanii maarufu Nchini Kenya,Mzee Ojwang  jina lake kamili ni ''Benson Wanjau, 77 ''
anatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa jicho lake moja mara baada ya kutoweza kuona kabisa,,mzee Ojwang ambaye siku za nyuma alijinyakulia umaarufu mkubwa kupitia katika kipindi cha Vitimbi pamoja na Vioja Mahakamani.ambaye pia ndiye mwasisi  wa vipindi hivyo

           


 Kupitia luninga ya KBC ya Ncini Kenya tangu mwaka 1985 akiwa anaigiza  na mkewe katika vichekesho hivyo  Mama Kayayi ..

              
Akihojiwa katika Hospital hiyo Mzee Ojwang Ambaye aliongozana na wasanii wenzake kama Mama Kayayii na Mwala Na Wengine wamekitupia lawama kituo cha KBC kumteklekeza mzee huyo ambaye ameipa umarufu mkubwa kituo hicho cha Tv,alilala kwa kusema ameifanyia mengi KBC ila wameshindwa hata kumlipia gharama za Hospital ambapo mara kwa mara alikuwa akiwasiliana na Uongozi wa kituo hicho bila ya mafanikioHadi mwanasiasa maarufu kijana  alipojitolea Nairobi senator, Mike Sonko kuamua kugharamia matibabu yake..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging