Google PlusRSS FeedEmail

AUNT EZEKIEL AKANUSHA TAARIFA ZA KUJIFUNGUA

BAADA ya kuzagaa taarifa za staa wa filamu nchini Aunt Ezekiel kujifungua, hatimaye msanii huyo ameibuka na kukanusha taarifa hizo.

Ambapo imethibitishwa kuwa msanii huyo bado hajajifungua hivyo taarifa hizo si za kweli hivyo jamii imuombee ajifungue salama kipindi kikifika.

Mitandao mbalimbali ya kijamii imeripoti taarifa za Aunt kujifungua kuanzia jana huku mingine ikimpongeza na kuweka kipande cha video

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging