Google PlusRSS FeedEmail

NICK CANNON MIRIAH CAREY KAUZA NYUMBA BILA KUNISHIKISHA

                                            

Muigizaji wa filamu Nick Cannon amesema kuwa mara baada ya kuachana ,aliyekuwa mke wake Mariah Carey ,Mwanamama huyo ameamua kuuza jumba lao la kifahari bila kumshirikisha

Mpango wa kuuza nyumba hiyo umefanyaka kati ya mwanamuziki huyo pamoja na  business  manager wake Michael Kane kwa asilimia 100% bila ya kumshirikisha,aliongeza kwa kusema yeye hakuwai kuwaruhusu kuuza nyumba hiyo kwa gharama ya Dolla  Million 9 

               
Ila akaweka bayana kuwa tatizo sio kuuzwa kwa nyumba bali ni Michael Kane hakumshirikisha mwanzo hadi mwisho wa mauzo wa nyumba hiyo,ila amesema yeye kwa sasa anasubiri mgao wake 


               


This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging