
Mume wa Bobbi Kristina Nick Gordon amemwaga machozi hadharani mara baada ya kusema amemkumbuka mke wake
Nick Gordon alitokwa na machozi wakati akihojiwa katika kipindi cha Dr Phill,
Kati ya maswali aliyoulizwa na Dr Phill ilikuwa ni kitu gani kilitokea mpaka mke wake akawa mahututi mpaka sasa
Alishindwa kujibu swali hiyo na kubaki akibubujikwa na machozi baada ya muda alisikika akisema '' nawahitaji Whitney na Bobbi warudi..

Ila rafiki wa wapenzi hao Steven Stepho walipohojiwa na jarida la The Sun alisema wawili hao walikuwa watumiaji wa kubwa wa dawa za kulevya ..aliongeza kuwa wawili hao walikuwa wakitumia mpaka kiasi cha dolla 10,000$ kwa siku,sawa na zaidi ya shilingi millioni 17 za Kitanzania







