Google PlusRSS FeedEmail

RAY AJIGAMBA NA VIP YAKE

                             

MWIGIZAJI na Muongozaji mahiri wa filamu  Vincent Kigosi ‘Ray’ ametangaza dau nono kwa kwa mtu yoyote anayedhibitisha kuwa filamu yake ya V.I.P kuwa imeigwa kutoka katika filamu yoyote kutoka nje ya nchi au ndani ya nchi mtu atayefanya hivyo atampatia milioni moja taslimu.

alifikia hivyo baada ya mtu mmoja kuwashutumu wasanii wakubwa kuwa wamekuwa mabingwa wa kuiga filamu kutoka nje yaani (Copy and paste) wakati wakijadili filamu ya Mzee wa Swaga ya JB iliyoigwa kutoka katika moja ya filamu ya kihindi na kuzua mjadala.

“Hakuna wazo jipya mtu unaweza kufanya na likawa la kipekee, hadithi zinaweza kufanana lakini si hadi dialogue, kuna mtu anadai filamu yangu ya V.I.P nimeiga kutoka sinema ya Ghana, sasa mimi nasema mtu ambaye ana filamu niliyoiga aje nayo ofisini nitampatia milioni moja,”anasema Ray.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging