Mashabiki wa Skylight Band wakicheza kwenye dancing floor Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki jijini Dar.
Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiwapa burudani mashabiki wa bendi hiyo huku akisindikizwa Ashura Kitenge.