Google PlusRSS FeedEmail

TIWA SAVAGE ABURUDIKA NA WANAWAKE UGANDA

Mwanamuziki wa miondoko ya R&B kutoka Nigeria Tiwa Savage jana alifanikiwa kufanya shoo ya aina yake nchini Uganda ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.

Savage aliyetua Uganda juzi kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe alifanya onesho hilo  kwenye viwanja vya Kati Kati vilivyopo Lugogo Jijini Kampala.

Ontesho hilo la Savage pia lilisindikizwa na wasanii wa Uganda kama vile Rema, Irene Ntale, Cindy, Sheebah, Keko pamoja na Lillian Mbabazi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging