Google PlusRSS FeedEmail

BIG SEAN: ARIAN GRAND ALIMTUMIA BIEBER KWA AJILI YA KUNIUMIZA

Kama kawaida Mastaa wengi wanapovunja mahusiano yao ya kimapenzi basi maneno ya kupeana vijembe ndipo huzidi kutapakaa.

Ni siku chache tangu waliokua wawili wapendanao Big Sean na Ariana Grande kutengana, rapa Big Sean ameibuka na kumlaum mwenzake kwamba ana mambo ya kitoto na alimtumia Justine Bieber ili kumuumiza.

Justine Bieber na Ariana Grande walipanda jukwaa moja na kufanya vituko vya kushikanashikana sehemu za miili yao kwa karibu huku wakikumbatiana mara kwa mara kitendo kilichomuudhi Big Sean.

Big Sean pia alisema Arian ana mambo ya kitoto na wala hawkuwa na mapenzi ya kweli kwani yeye ndio aliokua anammtembelea mara nyingi zaidi wakati wa mahusianao yao.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging