Google PlusRSS FeedEmail

DIAMOND PLATNUM ALIPWA FIDIA

Baada ya ukuta wa nyumba ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platnum kuangua hatimaye ameweza kulipwa fidia na Kampuni ya Bima tanzania (UAP), kwa kushirikiana na benki ya CRDB.

Hivi karibuni ukuta wa nyumba ya msanii huyo iliyopo maeneo ya Tegeta jijini Dar es Salaam, ulianguka upande ingawa haujaleta madhara yoyote kwa binadamu.

"Ukuta wa Nyumba yangu hii mpya umedondoka, naishukuru kampuni ya BIMA Tanzania, kwani wameweza kunilipa fidia ingawa nimejiunga na bima ya Makazi mwenzi mmoja tu ndipo matatizo haya yaliponikuta" alisema Diamond.

Aliwasihi vijana wengi kukata bima ya makazi au ya afya ili iweze kuwasaidia endapo watakutwa na majanga yoyote"

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging