Google PlusRSS FeedEmail

TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2015 ZAINGIA KWENYE HATUA YA MWISHO!

Mkutano na waandishi wa habari shirikisho la filamu Tanzania pamoja na wadau na waandaji wa tuzo hizo, wameonyesha furaha kubwa kwa hatua waliyofikia hadi sasa. Tuzo za filamu Tanzania chini ya shirikisho la filamu ndizo Tuzo zenye hadhi ya juu kabisa katika tasnia hii. Tuzo hizi zilizozinduliwa rasmi mwaka jana mwezi wa kumi na moja zimeonyesha mwamko mkubwa sana katika uchukuaji na urekeshaji wa fomu na hatimaye kufikia hatua hii ya kuwapata, NOMINEES.


          TAFA

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba(kulia) akielezea jambo kwa wana habari(hawapo pichani) wakati wa kutangaza walioingia katika hatua ya mwisho ya kushindania Tuzo za Filamu Tanzania leo jijini Dar es Salaam katika mkutano na wana habari uliofanyika katika hotel ya New Africa ya jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tuzo hizo Caroline Gul na mmoja wa wadhani kutoka International Eye Hospital Dr. Recep Yujel.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging