Google PlusRSS FeedEmail

JAGUAR BALOZI MPYA WA NATIONAL AUTHORITY FOR CAMPAIGN AGAIST ALCOHOL & DRUG ABUSE

 

Msanii Jaguar wa Kenya kuchaguliwa kuwa mjumbe wa National Authority for Campaign against Alcohol and Drug Abuse (NACADA) ambalo ni Shirika la kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya na unywaji wa pombe kupita kiasi, akiwa ni mjumbe atakaye husika na vijana zaidi kwenye shirika hilo, Jaguar amesema alianza kusaidia vijana kabla hajapewa nafasi hio.

“Watu wanadhani nimepewa nafasi hio sababu mi ni rafiki wa Rais, HAPANA, Nikitu nilichokuwa nafanya kabla sijapewa nafasi hio na nitaendelea kudaidia vijana, Rais aliinita na kuniuliza ni kitu gani naweza saidi vijana na nikachagua kitu nachoweza kufanya ”

Jagua ni mjumbe wa NACADA Na atahusika zaidi kuhamasisha vita dhidi ya matumizi ya dawa za kulevya na matumizi ya pombe kupita kiasi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging