Google PlusRSS FeedEmail

KUNANI BIEBER NA DEMU WA BIG SEAN?Furaha aliyoionyesha mpenzi wa rapa Big Sean mwanadada Ariana Grande alipoimba jukwaa moja na Justine Bieber imeleta utata kwa baadhi ya mashabiki.

Wawili hao waliimba pamoja usiku wa jumjatano ndani ya jiji la Los Angeles huku wakionekana kufurahia tendo hilo ambapo mara kwa mara walikumbatiana na kua karibu zaidi.

Mwanadada Ariana Grande alionekana mwenye furaha zaidi kuliko hata akiwa na mpenzi wake Big Sean.

Big Sean ambae alikua nchini Kanada na kuangalia show hiyo kupitia runinga alikerwa na kitendo hicho na kuandika kwenye ukurasa wake wa twita “ Huyu dogo inabidi ajifunze namna ya kucheza na mpenzi wangu”

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging