Google PlusRSS FeedEmail

ROSE NDAUKA NDANI YA PENZI JIPYA?

IMEVUJA! Baada ya uhusiano wake na Mbongo Fleva, Malick Bandawe kuvunjika, staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando ‘Manecky Kwa mujibu wa chanzo, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine. “Rose na Manecky ni wapenzi kwani muda mwingi wako pamoja, wanaongozana kama kumbikumbi hasa usiku

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging