Google PlusRSS FeedEmail

SHAH KHAN AJA NA KITU KIPYA

                       

Nyoata wa filamu kutoka India ,Shah Rukh Khan anatarajia kuingiza sokoni filamu yake mpya aliyocheza Nchini Marekani
Filamu hiyo ambayo ipo katika hatua za mwisho inatarajiw kuingizwa sokoni  hivi karibuni mara baada ya mahojiano nchini india ,khan alisema filamu yake hiyo imetayarishwa na kutengenezwa na aditya chopra na kurekodiwa katika makumbusho ya Madame Tussaunds..

Alisema katika filamu hiyo amemshirikisha mwanamitindo Waluscha De Sousa na Maneesh Shrama.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging