Google PlusRSS FeedEmail

NUSU NUSU IMEMGHARIMU JOH MAKINI

Hapo jana kupitia kipindi cha radio cha “The Jump off” kinachoenda hewani kila siku za wiki kuanzia saa mbili mpaka nne usiku Times Fm, alisikia mkali Joh Makini akitoa tathmini ya ngoma yake mpya Nusu Nusu.

Joh Makini kutoka kundi la Weusi alisema video ya Nusu Nusu imemgharimu pesa nyingi kuliko video zake zote alizozifanya kipindi cha nyuma.

Joh aliongezea kwa kusema gharama za video hiyo ndio imefanya ifanikiwe kupigwa kwenye vituo vya runinga nchi za nje, kwani imetoka video nzuri kama ilivyotegemewa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging