Google PlusRSS FeedEmail

JOH MAKINI ATOA SIRI YA USHINDIMwanamuziki kutoka kundi Weusi John Saimon Mseke a/k/a Joh Makini amefunguka siri ya yeye kuibuka na tuzo mbili za Kilimanjaro mwaka huu na kuwabwaga wasanii wenzake alioshirikishwa au aliopangwa nao kwenye vipengele ( category ) hizo.

Tuzo alizozipata Joh Makini ni zile za kipengele cha Msanii Bora wa HipHop na Mtunzi Bora wa Mwaka HipHop.

Mara baada ya kukabidhiwa tuzo hizo, mwandishi wetu alifuata John na kutaka kujua ni nini siri ya mafanikio yake ambapo Joh alijibu.

“kufanya kazi kwa bidii, kutokukata tama na kumtanguliza Mwenyezi Mungu Mbele”. Joh aliendelea kwa kusema kwamba hawezi kubweteka bali mashabiki wasubiri kuona juhudi kubwa zaidi ya hizi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging