Google PlusRSS FeedEmail

MUIGIZAJI ADAIWA KUUWAMuigizaji wa Nigeria (Nollwood) Kanayo Awurum mwenye umri wa miaka 29, amechukua “hedlines” jana nchini humo baada ya kukamatwa na polisi akidaiwa kumuuza mwanaye wa kiume mwenye umri wa miaka 2.

Kwa mujibu wa mtandao wa Punch, Kanayo amedaiwa kumuuza mtoto huyo kwa wanawake watatu kwa Naira 300 kutoka Imo state ambao nao wanashikiliwa na polisi.

Katika hali ya kujitetea, Kanayo anadai aliamua kufikia hatua hiyo baada ya kuwa na hali mbaya ya kimaisha, ukosefu wa fedha na mazingira duni aliyokuwa akiishi.

“From 2014, I started to have financial difficulties, and I wanted to come to Lagos to hustle. The idea to sell my child came in March 2015 when I finally decided to travel to Lagos. It was a friend, Emmanuel, who linked me to the women. I asked him to lend some money to me and he said I should use what I had to get what I wanted,” alisema Kanayo

Kanayo ameshaigiza filamu saba nchini humo, huku Vanguard reported aliyoigiza mwaka jana ndiyo iliyompa umaarufu zaidi.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging