Google PlusRSS FeedEmail

YOUNG THUG NA LIL WAYNE KUTOA ALBAMU SIKU MOJA

Young Thug anaonekana kutojali kilekinachoitwa beef baina yake na rapa Lil Wayne na kutangaza rasmi kwamba ataachia mixtape yake, Slime Season mnamo july 4 tarehe ambayo hata Lil Wayne ametangaza kutoa albamu yake ya Free Weezy.

Wawili hao wanaonekana kwenye ushindani wa kibiashara ambapo hapo mwanzoni Thug alisema jina la mixtape yake itaitwa Cater 6 jina ambalo linatumiwa na Lil Wayne kwenye searies ya albamu zake na baada ya Lil Wayne kufuatilia kisheria Young Thug akabadilisha jina la mixtape hiyo na kuiita Barter 6.

Lil Wayne ambaye anategemea kutoa albamu hiyo kwa kutumia program ya Jay Z ya TIDAL, mpaka sasa hajatoa neno lolote kuhusu taarifa za Young Thug kuachia albamu siku ambayo yeye pia ametangaza kuachia albamu yake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging