BOBY BROWN & ALICIA ETHRIDGE WAPATA MTOTO WA KIKE Posted on by Unknown Mke wa Bobby Brown anayejulikana Alicia Ethridge amejifungua mtoto wa kike mwishini mwa juma hili..Alicia Ethridge amejifungua kwenye hospitali ya Cedars Sinai ijumaa iliyopita akiwa huyu ni mtoto wa pili kwenye ndoa yao na wasita kwa Bobby Brown.