Google PlusRSS FeedEmail

ZOGO LAIBUKA LIL WAYNE NA BIRDMAN WALIPOKUTANAWakati Lil Wayne akifanya show mida ya night kali ndani ya klabu ya LIV iliyopo mjini Miami ghafla ziliibuka vurugu ambapo makopo ya vinywaji yalikuwa yakirushwa kuelekea stegin alipokuwa anaperfom rapa Lil Wayne.

Wakati watu wanajiuliza ni watu gani wanafanya kitendo hicho, ndipo hapo walipokundua upande wa makopo yalipotokea alikuwepo Birdman ambaye kwa sasa hawaelewani na Lil Wayne.

Kipande cha Video kinachosambaa kwenye mtandao wa Youtube kinamuonyesha Birdman akiwa na kinywaji mkononi pamoja na wapambe wake sehemu za juu ya ukumbi huo.

Inasemekana vurugu na fujo hizo zilisimama na kisha mnyamwezi Lil Wayne akaendelea na show yake. Ikumbukwe ya kwamba wawili hawa Lil Wayne na Birdman kwa sasa hawaelewani na kuwa kama paka na chui huku Lil Wayne akijiondoa kwenye kundi record Label ya Cash Money inayomilikiwa na Birdman

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging