
Kipindi kitakuwa kinaruka kila siku ya Jumapili, saa tatu kamili kwenye vituo vya televisheni vya Clouds Tv na Star Tv na marudio yake; Kwa Clouds Tv ni Jumanne saa tano kamili asubuhi pamoja na Alhamisi saa nane kamili mchana; Kwa StarTV ni Alhamisi saa tisa na nusu mchana.