Google PlusRSS FeedEmail

BREAKING NEWS BANZA STONE AFARIKI DUNIA
Breaking News Msanii Ramadhani Masanja Banza Stone amefariki Dunia Mchana huu,Nyumbani kwao ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.Banza alikuwa akisumbuliwa na Kifua pamoja na fangasi kichwani.msiba uko sinza njia panda ya kwenda Lion Hotel...

This entry was posted in

One Response so far.

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging