BREAKING NEWS BANZA STONE AFARIKI DUNIA Posted on by Unknown Breaking News Msanii Ramadhani Masanja Banza Stone amefariki Dunia Mchana huu,Nyumbani kwao ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.Banza alikuwa akisumbuliwa na Kifua pamoja na fangasi kichwani.msiba uko sinza njia panda ya kwenda Lion Hotel...
RIP BRO