Star wa muziki wa Bongo Flava Nasseb Abdul “Diamond Plutnums”, ametajwa kuwania tuzo za African Entertainment awards 2015.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Chibu ametujuza taarifa hiyo nzuri na muhimu kwa muziki wa Tanzania.
“Naomba niwashkuru wadau na Mashabiki zangu wote kwa support kubwa mnayozidi kunipa… Niwashkuru wote mlokuwa Mkihamasisha na kupiga kura katika tunzo za #Mtvmama2015 Hakika ni upendo Mkubwa..kijana wenu now nimetua South Africa tayari kwajili ya Kujiandaa kwa show nk… ila pia wakati nimetua nimekutana na Habari nyingine nzuri…kuwa Nimechaguliwa kwenye Tunzo za Marekani ziitwazo @AfricanEntertainmentAwards Kama Msanii Bora wa Kiume Africa na Nyimbo bora ya Africa #NtaMpataWapi Hii ndio Account yao @AfricanEntertainmentAwards Ntawajuza namna ya Kupiga kura Soon..” ameandika mkali huyo.
Plutnumz anawania vipengele vya mwanamuziki bora wa Africa pamoja na Wimbo bora wa Africa (nitampata wapi) akichuana na Davido, Wizkid na wengine kadhaa
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.