Google PlusRSS FeedEmail

DMX JELA MIEZI 6

Wiki kadhaa rapa Earl Simons a/k/a DMX alitupwa selo huku akisubiri hukumu ya mahakama juu ya kesi zilizomkabili ikiwezo ile ya kushindwa kulipa fedha ya matumizi kwa mtoto wake pamoja na uvunjifu wa sheria za barabarani.

Kituo cha habari cha WIVB kimeripoti kuwa, hakimu wa kesi za kifamilia Deanne Trippi ameshatoa hukumu yake na kuanzia jana rapa huyo anatumikia kifungo cha miezi sita gerezani.

Habari hiyo inaonekana kumsikitisha Mwanamuziki Shagy ambaye alishapanga kuwa na DMX mwaka huu kwenye tamasha lake lijulikanalo kwa jina la Shaggfest. Shaggy aliandika kwenye akaunt yake ya mtandao wa twita, “ It comes with sadness and regret. But Dmx will not be attending this year #shaggfest. — he got locked up today for 6 months.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging