Google PlusRSS FeedEmail

ICE CUBE KUACHIA STRAIGHT OUTTA COMPTON KITAANIIce cube anaandaa bonge moja la movie ambayo kwa asilimia 100, ina uhalisia na kuhusisha mziki wa ‘Hip Hop’ moja kwa moja.

Akizungumza na Power 99, Ice cube amesema moja kati ya ngoma ambayo ni sound track ya muvi hiyo na inayopendwa zaidi “Straight Outta Compton” inatarajiwa kudondoka kitaa wiki mbili zijazo.

Ndani ya muvi hiyo, ataonekana pia mwanae pamoja na ‘director’ wa Barbershop 3 Gray.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging